Wanachama wa Keek-Onyokie wataka uchaguzi wa viongozi

  • | Citizen TV
    240 views

    Baadhi ya wanachama wa jamii ya Keek-Onyokie katika eneo la Kibiku Kajiado magharibi wanataka uchaguzi mpya wa viongozi wa kusimamia ardhi yao ya jamii ambao wataongoza zoezi la kugawa ardhi hiyo.