Wanachama wa Keekonyokie walalamikia uamuzi wa korti

  • | Citizen TV
    163 views

    Wanachama wa shamba la Keekonyokie la ekari 2800 Kajiado Magharibi wametupuuzilia mbali uamuzi uliotolewa wiki jana na koti, iliyoamuru mwenyekiti wa wanachama hawa kuwasilisha hatimiliki ya shamba hili kwa mahakama kwa muda wa saa 72.