Wanachama wa kilabu cha kijamii na soka walalamikia kuhusu ubadhirifu wa fedha

  • | KBC Video
    15 views

    Wanachama wa kilabu cha kijamii na soka katika kaunti ya Mombasa wamelalamimia kile wanachikitaja kuwa ubadhirifu wa fedha zilizokusanywa kupitia mradi wa mapato wa kilabu hicho .Wanachama wa kilabu hicho wanashutumu kamati ya muda ya kilabu hicho ambayo imehudumu kwa miaka 11 kwa kushindwa kutoa ripoti wazi za matumizi ya kodi zinazokusanywa kwa kukodisha vyumba kilabu hicho.Wanachama hao wametoa wito wa kuandaa uchaguzi wa kilabu hicho ili kuwaondoa kamati hiyo ambayo imekuwepo tangu mwaka wa 2013 na ambayo imesusia kuandaa uchaguzi mpya kwa manufaa ya wanachama hao ili kutatua mzozo huo ambao umekuwepo kwa muda mrefu;

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive