Wanachama wa muungano wa wanawake na Kilifi wataka uchaguzi ufanyike

  • | Citizen TV
    180 views

    Wanachama wa Muungano wa Maendeleo ya Wanawake eneo la Kilifi Wataka Uchaguzi Kufanyika Licha ya Zoezi Hilo Kuahirishwa. Wanachama hao wametoa wito uchaguzi mpya wa viongozi kufanyika haraka licha ya zoezi hilo kuahirishwa kwa miaka minne.