Wanachama waapishwa kumshauri Gavana Kang'ata pamoja na Dkt S.K Macharia kaunti ya Murang’a

  • | Citizen TV
    2,727 views

    Kundi la baraza la bajeti na uchumi kaunti ya Murang'a limeapishwa hii Leo katika ofisi za kaunti ya Murang'a. Ni kundi la wafanyibiashara mashuhuri pamoja na wasomi kutoka kaunti ya Murang'a ambao wameteuliwa na Gavana Irungu Kang'ata. Baraza hilo linalowajumuisha mwenyekiti wa kampuni ya Royal media services Daktari S.K. Macharia, Peter Munga wa benki ya Equity na wengine litamsaidia gavana pamoja na serikali ya kaunti katika mambo ya bajeti na uchumi.