Wanafunzi 100 kutoka familia zisizojiweza katika kaunti ya Uasin Gishu wapata ufadhili wa karo

  • | Citizen TV
    238 views

    Ni afueni kwa wanafunzi 100 kutoka familia zisizojiweza katika kaunti ya Uasin Gishu kufuatia ufadhili wa kulipa karo ya kujiunga na kidato. Usaidizi huo ulitolewa na mashirika mbali mbali kwa wanafunzi kutoka eneo bunge la Chesumei.