Wanafunzi 130 Laikipia wapata basari ya shilingi milioni 3

  • | Citizen TV
    153 views

    Wanafunzi 130 kutoka hifadhi ya Naibung'a Laikipia kaskazini wamenufaika na basari ya shilingi milioni 3 fedha ambazo hifadhi hii imepewa kutokana na uhifadhi wao wa mazingira na kupunguza hewa ya kaboni.