Wanafunzi 17 wafa moto shuleni Hillside, Nyeri

  • | NTV Video
    517 views

    Wanafunzi 17 wa shule ya Hillside, Nyeri, wameaga dunia na wengine kuwachwa wakiuguza majeraha ya moto. Kisa hicho kilifanyika usiku wa kuamkia leo. Waliojeruhiwa wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya