Wanafunzi 20 kutoka Kwale waliofanya vyema kwenye mtihani wa KCPE wapata ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    461 views

    Wanafunzi ishirini kutoka maeneo ya Msambweni na Lungalunga katika kaunti ya Kwale waliofanya vyema kwenye mtihani wa KCPE na wanaotoka jamii zisizojiweza wamepata ufadhili wa masomo ya shule ya upili kutoka mpango wa Elimu Scholarship Program unaodhaminiwa na serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na benki ya Equity na benki ya dunia.