Wanafunzi 210 wenye ulemavu wapewa baiskeli Oloililai

  • | Citizen TV
    48 views

    Wanafunzi 300 miongoni mwao 210 wenye ulemavu kutoka shule kumi katika kaunti ndogo ya Oloililai, kaunti ya Kajiado wamenufaika na msaada wa baiskeli za kuwarahizishia usafiri kufika shuleni