Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi 23 Trans Nzoia wauguwa baada ya kula maembe shuleni

  • | Citizen TV
    543 views
    Duration: 2:24
    Maafisa wa afya kaunti ya Trans Nzoia wanachunguza tukio ambapo wanafunzi 23 waliugua baada ya kula maembe shuleni. Wanafunzi hao wa darasa la nne katika shule ya Big Tree Comprehensive walianza kuumwa na tumbo baada ya kuripotiwa kula maembe hayo. Waliozidiwa walitibiwa hospitali ya Wamalwa Kijana HUKO Kitale