Wanafunzi 380 wahangaika kwa kukosa madarasa katika shule ya Kalalaran kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    168 views

    Changamoto za miundo msingi duni na ukosefu wa walimu wa kutosha katika shule ya msingi ya Kalalaran iliyoko katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia zimeathiri pakubwa elimu katika shule hiyo. Shule hiyo ina madarasa matano pekee yanayotumiwa na wanafunzi 380 .