Wanafunzi 398 Turkana wapata ufadhili kutoka benki ya Equity

  • | Citizen TV
    162 views

    Wanafunzi 398 wanaosomea shule za upili kutoka kaunti ya Turkana na kufadhiliwa na benki ya Equity katika mpango wa wings to fly,wamekongamana mjini Lodwar na kupewa mafunzo ya jinsi ya kuepuka mihadarati na dawa za kulevya.