Wanafunzi 4600 wanaofadhiliwa na benki ya Equity wahamasishwa

  • | Citizen TV
    677 views

    Wanafunzi 4600 wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma na Kalobeyei Turkana na wanaofadhiliwa na benki ya Equity kwa mpango wa Wings to Fly, wamepewa mafunzo na ushauri nasaha wanapojiandaa kwa ufunguzi wa shule wiki ijayo.