Wanafunzi 50 kushiriki mashindano ya talanta Uturuki na Tanzania

  • | Citizen TV
    515 views

    Wanafunzi 50 walioibuka washindi kwenye mshindano ya kuonyesha vipaji mbali mbali yalioandaliwa mjini Kitengela kaunti ya Kajiado miezi miwili iliyopita sasa wamepata fursa ya kushirikia mashindano ya kimataifa katika mataifa ya Uturuki na Tanzania ambapo watatumia majukwa hayo kuonyesha talanta zao.