Wanafunzi 6 wafariki kwenye ajali Delamere, Naivasha

  • | Citizen TV
    8,864 views

    Wanafunzi sita wameaga dunia huku wengine sita wakijeruhiwa baada ya kuhusika kwenye ajali eneo la Delamere katika barabara kuu ya Nakuru - Nairobi. Ajali hii ilitiokea wakati gari lililokuwa limewabeba wanafunzi hawa wa shule ya upili ya wasichana ya Mbihi Friends iliyoko Vihiga kugongana ana kwa ana na lori la kusafirisha mizigo