Wanafunzi Baringo wakosa kuripoti shuleni kwa muhula wa tatu baada ya ziwa Baringo kufurika

  • | Citizen TV
    293 views

    Mamia ya wanafunzi kaunti ya Baringo wameshindwa kuripoti shule kwa muhula wa tatu wa masomo, baada ya ziwa Baringo kufurika tena. Mbali na shule, barabara na hata nyumba na biashara zimesombwa. Hali hii ikiwaweka wanafunzi kwenye hatari ya kuvuka mito hii na hata kukaa na hofu ya kushambuliwa na viboko na mamba.