Wanafunzi eneo la kuria wakumbatia elimu ili kupigana na ufukara kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    104 views

    Kwa miaka ya awali wanafunzi katika eneo la kuria kaunti ya Migori wamekuwa wakikosa kwenda shule kupata maarifa ya siku za usoni Kwa kukosa karo ya shule.Lakini Hali si Hali Tena huku walimu na wenyeji wamethibitisha kuwa wenyeji wa eneo Hilo wameanza kukumbatia elimu kama njia Moja ya kupigana na ufukara ambayo bado imekita kambi katika baadhi ya vijiji katika eneo Hilo.Viongozi Kutoka eneo Hilo Kwa Sasa wameanza mchakato ya kurai wazazi kupeleka wana wao shule bila kusita ili kupata elimu na maarifa