Wanafunzi katika eneo bunge la Gatundu Kaskazini wanufaika na mpango wa CDF

  • | KBC Video
    Wahenga walisema hakuna tatizo lisilokuwa na suluhisho.Ni msemo ambao uhalisia wake umebainika kwa maelfu ya wanafunzi wa shule za msingi za umma katika eneo bunge la Gatundu Kaskazini,k aunti ya Kiambu.Wanafunzi kutoka zaidi ya shule 40,walikuwa nje ya shule kwa miezi tisa mwaka uliopita kutokana na janga la Covid-19.Hata hivyo likizo hiyo ndefu ilitoa fursa ya kukarabati majengo katika shule hizo,kupitia hazina ya CDF.Kamche Menza,anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive