Wanafunzi kijiji cha Sikri bado wamesalia nyumbani kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    168 views

    Ni siku ya tano sasa tangu shule kufunguliwa lakini wanafunzi wengi kutoka kijiji cha Sikri eneo bunge la suba kusini kaunti ya Homa Bay bado wamesalia nyumbani. Hii ni baada ya mafuriko kuzingira nyumba na shule na maji kujaa kwenye barabara wanayotumia kuelekea shuleni. .James latano alitembelea shule hiyo na kutuandia taarifa ifuatayo.