Wanafunzi kutoka familia zisizojimudu kunufaika na msaada wa masomo

  • | KBC Video
    14 views

    Maelfu ya wanafunzi kutoka familia zisizojimudu waliofanya mtihani wa darasa la nane ,KCPE mwaka 2022 watanufaika na msaada wa masomo katika mashirika mbali mbali.Msaada huo unatolewa na serikali kwa ushirikiano na washirika wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #needyoursupport #dirayamagwiji