Wanafunzi Migori wajipata kwenye njia panda baada ya kushindwa kupata basari

  • | Citizen TV
    117 views

    Serikali ya kaunti ya Migori imejipata kwenye njia panda baada ya kushindwa kuwasilisha pesa za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi walioomba usaidizi tangu mwezi wa januari.Waziri wa Elimu na Naibu Gavana wa kaunti hiyo wanasema kuwa serikali kuu haijawasilisha mgao wa pesa kwa kaunti hiyo tangu mwezi Novemba mwaka jana.