Wanafunzi na walimu wa shule nne Nyamira wahusishwa kwa udanganyifu wa mitihani ya KCSE

  • | Citizen TV
    833 views

    Wanafunzi na walimu wa shule 4 katika kaunti ya Nyamira wanahusishwa na udanganyifu wa mtihani wa KCSE unaoendelea.