Wanafunzi wa CBC waonyesha talanta zao

  • | Citizen TV
    695 views

    Huku mtaala wa CBC ukizidi kupigwa msasa, wanafunzi wameanza kujifahamisha kuhusu taaluma ambazo wanatazamia kusomea watakapokamilisha gredi ya tisa. wanafunzi waliandaa maonyesho ya talanta za CBC na uwezo wao wa kutengeneza bidhaa mbali mbali.