Wanafunzi wa chekechea Samburu waongezeka kufuatia mpango wa lishe kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    228 views

    Idadi ya wanafunzi wa chekechea katika kaunti ya samburu imeanza kuongezeka kufuatia mpango wa lishe kwa wanafunzi. Gavana Lati Lelelit, amesema kuwa mpango huo utasaidia kukabili ugonjwa wa utapiamlo na kuhakikisha kuwa watoto wote wanahudhuria masomo.