Wanafunzi wa chu kikuu cha Multimedia waandamana kufuatia kufungwa kwa tovuti za kusajili kozi

  • | Citizen TV
    1,549 views

    Shughuli za uchukuzi zilikatizwa kwa muda kwenye barabara ya magadi kuelekea Ongata Rongai kaunti ya Kajiado kufuatia maandamano ya wanafunzi wa chu kikuu cha multimedia.