Wanafunzi wa chuo cha Chuka waazimia kusaidia Raphael Achinga kujiunga na chuo kikuu

  • | Citizen TV
    1,062 views

    Imekuwa furaha na matumaini kwa mwanafunzi aliyeshindwa kujiunga na chuo kikuu licha ya kupata alama ya A kwenye mtihani wa KCSE.