Wanafunzi wa chuo cha JOOUST waandamana kulalamikia utovu wa usalama chuoni humo

  • | Citizen TV
    513 views

    Shughuli za uchukuzi zimetatizika katika barabara ya Siaya-Nyadorera asubuhi ya leo baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga, bewa la Siaya mjini, kuandamana na kufunga Barabara hiyo kulalamikia utovu wa usalama chuoni humo.