Wanafunzi wa chuo cha Multimedia waandamana kwa kero ya fisi chuoni

  • | Citizen TV
    595 views

    Shughuli za usafiri zimetatizwa katika barabara ya Ngong kufuatia mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia.