Wanafunzi wa chuo kikuu cha Masinde Muliro waandamana kulalamikia mauaji ya mwenzao

  • | West TV
    164 views
    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Masinde Muliro wametatiza shughuli za usafiri katika mji wa Kakamega wakiandamana kulalamikia kuuawa kwa mwanafunzi mwenzao wa mwaka wa 5 kitengo cha Uhandisi baada ya kuvamiwa usiku.