Wanafunzi wa chuo kikuu cha Masinde Muliro watoa hamasisho kuhusu maradhi ya akili

  • | Citizen TV
    374 views

    Huku wakenya wengi wakikumbwa na msongo wa mawazo kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha washikadau na sekta zote za serikali zimetakiwa kujukumika kwa kutoa ushauri nasaha pamoja na misaada ya kuwapa matumaini wananchi wanaoathirika.