Wanafunzi wa gredi 9 wanakabiliwa na ukosefu wa madarasa

  • | Citizen TV
    553 views

    Wanafunzi wa gredi ya tisa wanakabiliwa na uhaba wa madarasa wanaponza mwaka mpya wa masomo ya sekondari msingi. serikali inakiri kuwa kuna changamoto za kukamilisha madarasa ya gredi ya tisa na kutaka shule zilizoathirika kujumuisha wanafunzi kwenye madarasa yaliyoko. baadhi ya madarasa yako katika hali mbaya, haswa katika kaunti ya bomet ambapo baadhi yamejaa matope.