- 1,133 viewsDuration: 3:01Tukisalia katika maswala ya elimu ni kwamba mamia ya wanafunzi kwenye shule ya msingi ya Imumba kaunti ya Kitui wanasoma katika mazingira duni , huku wengine wakisomea chini ya miti. Katika shule hiyo ya msingi na sekondari msingi, wanafunzi wanakosa mahitaji ya msingi huku wakisoma kwa hofu ya usalama