Wanafunzi wa Kenya washindi wa Huawei ICT 2024/25 nchini China

  • | NTV Video
    165 views

    Katika taarifa nzuri kwa sekta ya elimu na teknolojia nchini Kenya, wanafunzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wameibuka kidedea katika mashindano ya 'Huawei ICT' ya mwaka 2024/25 yaliyofanyika mjini Shenzhen, Uchina.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya