Wanafunzi wa Lamu wapata ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali baada ya kufaulu mitihani ya KCPE

  • | Citizen TV
    179 views

    Wanafunzi ambao wamepata ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali sawia na mashirika mbalimbali baada ya kufaulu vyema katika mitihani yao ya kitaifa KCPE kaunti ya Lamu wametakiwa kuendelea kutia bidii zaidi ili wapate ufadhili wa kujiunga na vyuo vikuu watapokamilisha masomo yao ya upili.