- 2,379 viewsDuration: 1:06Mahakama ya Kakamega mnamo Jumanne ilikataa ombi la upande wa mashtaka la kuwazuilia wanafunzi wanane wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Mukumu kwa siku nne zaidi huku uchunguzi kuhusu madai ya njama ya kuchoma shule hiyo ukiendelea. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya