Wanafunzi wa mwisho wa KCPE wafika shuleni

  • | KBC Video
    75 views

    Kundi la mwisho la wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE mwaka jana limejiunga rasmi na kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za upili kote nchini. Licha ya changamoto za kifedha, wazazi wengi walieleza matumaini na matarajio ya kuwaona wanao wakipata elimu bora katika shule hizo. Joseph Wakhungu alizuru shule kadhaa na kuandaa taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive