Wanafunzi wa shule ya Eregi waugua ugonjwa usiojulikana

  • | K24 Video
    48 views

    Wanafunzi 95 kutoka shule ya wasichana ya St. Theresa Eregi wamelazwa katika hospitali mbalimbali kaunti ya Kakamega baada ya kuuguza ugonjwa ambao haujatambuliwa. Wazazi waliojawa na hamaki wanatoa wito kwa madaktari na hata walimu kuwapa ripoti kuhusu hali ya afya ya wana wao wakilalamika kuwa hadi sasa hawajapewa ripoti kamili. Sampuli za wanafunzi hao zimepelekwa katika taasisi ya utafiti wa matibabu , KEMRI, kwa uchunguzi zaid