Wanafunzi wa shule ya wasichana ya Alliance washerehekea Valentine's Day na wazazi wao

  • | Citizen TV
    Wanafunzi na wazazi wa shule ya wasichana ya Alliance pia hawakuachwa nyuma kwenye maadhimisho ya siku ya wapendanao. Wazazi walifurika katika shule hiyo kuwakabidhi watoto wao maua na keki.