Wanafunzi wa shule za umma Uasin Gishu wapewa sodo

  • | Citizen TV
    595 views

    Wanafunzi wa kike kutoka vitongojini duni wanaohudhuria masomo katika shule za umma kaunti ya Uasin Gishu, wanapewa sodo zitakazowawezesha kuendelea na masomo bila kuhangaika. Shughuli hiyo inaongozwa na mwakilishi wa kike Kaunti ya Uasin Gladys Boss Sholei. Tunaungana na John Wanyama kwa maelezo zaidi