Wanafunzi wa shule zilizotia fora washerehekea matokeo yao

  • | K24 Video
    34 views

    Idadi ya wanafunzi waliozoa alama A katika mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, imeongezeka kwa asilimia 0.01, kutoka wanafunzi 1,146 mwaka wa 2022, hadi 1,216 mwaka jana.