Wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya wastani wahangaika

  • | Citizen TV
    304 views

    Hofu inazidi kughubika maelfu ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo mbalimbali kufuatia tatizo la tovuti ya huduma za kuwateuwa wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vingine KUCCPS. Baadhi ya wazazi na wanafunzi wanakesha kwenye migahawa bwasha kusakura wavuti bila mafanikio huku ikizingatiwa kuwa zimesalia siku sita tu kabla ya makataa kwisha. hata hivyo kituo cha huduma za usajili wa wanafunzi katika vyuo vikuu na vyuo vya wastani kimeongeza muda huo hadi tarehe 26 mwezi huu.