Wanafunzi wa vyuo vikuu waitaka serikali kuwajibika

  • | Citizen TV
    676 views

    Muungano wa wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali wanaotoka kaunti ya Makueni wameelezea wasiwasi wao kufuatia kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara wanavyosema vinalenga vijana . Wanafunzi hao Wanaitaka serikali kuwajibika kama anavyoarifu michael mutinda.