5 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 228 views Duration: 3:48 Siku mbili baada ya watahiniwa wa gredi ya 9 kukamilisha mitihani yao ya kitaifa, watahiniwa zaidi ya elfu tatu walikutana katika kanisa la kiangilikani jijini nakuru kwa ushauri nasaha.