Wanafunzi wachache waripoti shuleni Mombasa na Kisumu

  • | Citizen TV
    1,116 views

    Idadi Ndogo Ya Wanafunzi Ilishuhudiwa Katika Shule Mbalimbali Kaunti Ya Mombasa Na Kisumu Huku Wanafunzi Wengi Wakisalia Nyumbani. Japo Walimu Walifika Katika Baadhi Ya Shule, Wanafunzi Wengi Hawakujitokeza Kufuatia Hofu Kuwa Huenda Wakaathirika Na Mgomo. Sam Masiga Angaangazia Hali Katika Kaunti Za Mombasa Na Kisumu