Wanafunzi wahimizwa kujiunga na taasisi za hoteli

  • | KBC Video
    13 views

    Chuo cha utalii kimeungana na hoteli kadhaa za kitalii kote nchini kuandaa shindano la kitaifa kuhusu utalii. Shindano hilo litajumuisha maandalizi ya vyakula vya kigeni na vya humu nchini, utayarishaji vyakula, malezi na mapokezi miongoni mwa shughuli nyingine. Shindano hilo linalenga kuboresha na kuimarisha sekta ya hoteli humu nchini iliyo na ushindani mkubwa. Shindano hilo liwavutia waangalizi kutoka Zambia ambao waliwasili humu nchini kujifunza mengi kutoka Kenya, huku kukiwa na miito ya wanafunzi zaidi kujiunga na chuo cha utalii kuhakikisha hakuna pengo katika sekta ya utalii

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive