Wanafunzi waishi na watoto wao shuleni

  • | BBC Swahili
    471 views
    Greenland ni shule ya kipekee nchini Kenya, inatoa nafasi ya pili kwa baadhi ya wasichana waliopata ujauzito mapema wakiwa bado shuleni na kutelekezwa nyumbani au kwa wasichana wanaoozeshwa ndoa za mapema. - Mbali na kupata elimu, pia wasichana hawa wanapata fursa ya kuishi na Watoto wao wachanga katika mazingira ya shule. - BBC ilipata fursa ya kufika shuleni humo na kuzungumza na baadhi ya kina mama wenye umri mdogo kuhusu kupata nafasi ya pili katika maisha - ✍Anne Ngugi anaripoti - 🎥: Judith Wambare - - - - #bbcswahili #elimu #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw