Wanafunzi wakumbatia uvumbuzi na ubunifu kupitia teknolojia

  • | K24 Video
    67 views

    Ulimwengu wa sasa unakumbatia uvumbuzi na ubunifu kupitia teknolojia..Shule ya Ronald Ngala Memorial huko Malindi kaunti ya Kilifi haijasazwa. Wanafunzi katika shule hiyo wametengeneza boti lisilotumia mafuta.wenye mradi wao , Liz Maua na Mariam Sidi wa kidato cha nne wanasema iwapo boti hilo litakumbatiwa basi uchafuzi wa mazingira pamoja na bahari utazikwa katika kaburi la sahau. Wanafunzi wengine wawili , Zaina Abei na Jedida Mwende , wamebuni tarakilishi inayotumia simu ya rununu kufanya kazi