Wanafunzi walio na ulemavu kunufaika na mpango wa serikali wa kusambaza vifaa vya mafunzo

  • | KBC Video
    26 views

    Wanafunzi walio na ulemavu wanatazamiwa kunufaika na mpango wa serikali wa kusambaza vifaa vya mafunzo katika shule zao maalum kote nchini. hatua hii inafuatia msaada wa hivi majuzi wa serikali kwa taasisi ya kitaifa ya elimu maalum ambao utasambazwa kote nchini kuanzia mwezi ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive