Wanafunzi walioathiriwa na mafuriko wapokea ufadhili wa viatu na mavazi kutoka wasamaria wema

  • | NTV Video
    47 views

    Wanafunzi walioathiriwa na mafuriko katika maeneo mbalimbali ya makazi yasiyo rasmi wana sababu ya kutabasamu baada ya kupokea ufadhili wa viatu na mavazi kutoka kwa wasamaria wema. Ufadhili huu umetokea wakati ambapo maeneo mengi vijijini bado yanakabiliwa na athari za mafuriko kufuatia mvua kubwa ya mwezi aprili na mei. Hafla hii ilifanyika katika shule ya msingi ya mukuru kwa Ruben, eneo bunge la Embakasi Magharibi kaunti ya Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya